Site logo

wimbi*

watoto waona maji

wimbi mradi

*wimbi

*wimbi (swahili) = wave
**ewaso nai beri (massai) = "Mahali penye maji baridi", (nairobi)

ke de nl gb fr

SocialTwist Tell-a-Friend

blocks_image
blocks_image
blocks_image
blocks_image
wimbi ni kukusanya picha za majini kutoka kila sayari ulimwenguni ili kutambua shida na matatizo kutokana na ongezeko la watu wanaoshirikiana kwa kumaliza maji.

picha hizi zilichukuliwa kwa kamera za kujiundia na watoto ili kuelezea maji na ukosefu wake kisanii. watoto hawa ni kati ya miaka kumi na moja (11) na kumi na sita (16) wanaotoka kwenye tamaduni na matabaka mbalimbali.

wanafunzi wote wanaoshiriki watapatia masomo ya ziada kuhusu njia za kupiga picha.

nilipata wazo hili katika mji mkuu wa africa kusini (cape town) 2003, wakati nilikuwa nikifanya upigaji picha katika frank jouber art centre. nilikuwa na viwanda viwili mjini na mada kuu ya mwisho ikiwa ni maji kwani tulitaka kushiriki kwenye ë sikukuu ya dunida mjini cape town. kukiko na masomo ya mfuatanisho mjini essen, ujerumani kwenye msimu wa barafu mwaka 2005/6 na mwaka 2008 nikahudhuria masomo mawili nairob, kenya, pamoja na chuo cha anuwai cha goethe, shule ya ujerumani mjini nairobi na nyigine katika shule ya
kibagare good news centre, shule ya kikanisa kwenye eneo la mabanda.

machi 2009, shule za kisasa orissa, india ifuate, halafu oelde, ujerumani na jerusalemu.

hii ni mradi ya kibinafsi unaofadhiliwa na mashirika yasiyo ya kiserikali.

kwa maendeleo ya mradi huu, nategemea ufahili ya kila usaidizi naukaribisha kwa moyo mkunjufu.

kwa mradi ulioko india, nahitaji usaidizi hasa nauli ya ndege kutoka ujerumani hadi mji mkuu wa india new delhi.
tafadhali saidia kulingana na uwezo wako

dirk rappold oelde, ujerumani, februari, 2009
maji taka mabandani, nairobi, kenya
kupaa kwa maji, nairobi, kenya
kwenye kidiburi, nairobi, kenya
habari mbaya maji machafu, nairobi, kenya

*wimbi

*wimbi (swahili) = wave
**ewaso nai beri (massai) = "Mahali penye maji baridi", (nairobi)

ke de nl gb fr

SocialTwist Tell-a-Friend

© 2009 dirk räppold